Tenzi za Rohoni 2.1.2 [免費版]

軟體介紹

Tenzi za Rohoni app inakuwezesha kupata tenzi za rohoni au nyimbo za injili kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.
App hii ina nyimbo za dini 138 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi au nyimbo za dini, unaweza kusoma na
kusikiliza ala (audio) za nyimbo za injili bila kuwa na intaneti (Offline)
Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema
mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16
Ipakue app hii na umuimbie na kumsifu Bwana kwa nyimbo za injili muda na mahali popote!.Merry Christmas and Happy new year!FEATURES
★ Tenzi za Rohoni 138 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi za rohoni.
★ Tafuta neno lolote kwenye Tenzi za Rohoni
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

歷史版本

Free Download 二維碼下載
  • 軟體名稱: Tenzi za Rohoni
  • 軟體分類: 圖書與參考資源
  • APK名稱: tz.co.wadau.tenzizarohoni
  • 最新版本: 2.1.2
  • 支持ROM: 4.0.3及更高版本
  • 軟體大小 : 5.39 MB
  • 更新日期: 2019-07-05