Dunia yetu Leo 1.3 [免費版]

軟體介紹

Kupitia App HII ya Matukio ulimwenguni utaweza kupata habari za kitaifa na za kimataifa bila kusahau habari za michezo. 1.utaweza Kupata Habari mbali mbali za kisiasa, Kiuchumi,kijamii na michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania kupitia wavuti zifuatazo; -BBC SWAHILI -CRI SWAHILI -VOA SWAHILI NA NYINGINEZO 2.Utaweza kuhifadhi habari hizo na kuzisoma baadae hata kama hautakuwa na internet. 3.KUTOA Maoni; Utaweza kucomment na kushare habari na rafiki wengine ULIMWENGUNI 4.Habari papo kwa papo; BILA SHAKA Utafahamishwa habari kupitia ujumbe mfupi(Notification) katika simu yako punde zinapochapishwa MARA MOJA

歷史版本

Free Download 二維碼下載
  • 軟體名稱: Dunia yetu Leo
  • 軟體分類: 新聞與雜誌
  • APK名稱: com.ndifuust.duniayetuleohii
  • 最新版本: 1.3
  • 支持ROM: 4.0.3及更高版本
  • 軟體大小 : 2.78 MB
  • 更新日期: 2022-09-27